Mazingira - Hali ya hewa ya Mvua (lydbog) af Rasmus Broe
BookClub ready
Rasmus Broe (forfatter), Rasmus Broe (indlæser)

Mazingira - Hali ya hewa ya Mvua (Saga Sounds) lydbog

25,00 DKK (inkl. moms 31,25 DKK)
Tulia ukisikiliza sauti za maumbile. Nje ya dirisha upepo wa baridi unavuma kwenye miti. Mvua inanyesha kimahadhi, na mara kwa mara, sauuti ya radi inaweza kusikiika kwa mbali. Ndani, kuna joto na ni salama, na sauti za hali ya hewa zinakuvutia ulale. Utafiti umeonyesha kwamba sauti za maumbile zinaweza kuwa na athari ya kutuliza na kusisimua kwenye ubongo. Sauti za Saga ni mfuatano wa sauti ma...
Lydbog 25,00 DKK
Forfattere Rasmus Broe (forfatter), Rasmus Broe (indlæser)
Forlag SAGA Egmont
Udgivet 19 juli 2019
Længde 4:29
Genrer Mind, body, spirit
Serie Saga Sounds
Sprog Swahili
Format mp3
Beskyttelse Vandmærket
ISBN 9788726266566
Tulia ukisikiliza sauti za maumbile.



Nje ya dirisha upepo wa baridi unavuma kwenye miti. Mvua inanyesha kimahadhi, na mara kwa mara, sauuti ya radi inaweza kusikiika kwa mbali. Ndani, kuna joto na ni salama, na sauti za hali ya hewa zinakuvutia ulale.



Utafiti umeonyesha kwamba sauti za maumbile zinaweza kuwa na athari ya kutuliza na kusisimua kwenye ubongo. Sauti za Saga ni mfuatano wa sauti maridadi na mbalimbali za mazingira, ambazo unaweza kusikiliza ili kutulia, ukienda kulala au ukiwa kazini. Sauti iliyobuniwa vizuri huunda mazingira ya kutuliza, yanayojulikana pia kama "mazingira", ambayo unaweza kuyaingia mahali popote na wakati wowote utakao. Sauti za Saga ni mfuatano wa sauti maridadi na mbalimbali za mazingira, ambazo unaweza kusikiliza ili kutulia, ukienda kulala au ukiwa kazini.