Mazingira - mahali pa kuotea moto (lydbog) af Rasmus Broe
BookClub ready
Rasmus Broe (forfatter), Rasmus Broe (indlæser)

Mazingira - mahali pa kuotea moto (Saga Sounds) lydbog

25,00 DKK (inkl. moms 31,25 DKK)
Tulia ukisikiliza sauti za maumbile. Kuni katika mahali pa kuotea moto zinachomeka, na joto linaenelea ndani ya chumba. Saa ya zamani inaendelea kugonga, na paka anajinyoosha na kukoroma sakafuni. Umekaa kwenye kiti chenye starehe, ukitulia huku ukifirikia moto ulio mbele yako. Utafiti umeonyesha kwamba sauti za maumbile zinaweza kuwa na athari ya kutuliza na kusisimua kwenye ubongo. Sauti za S...
Lydbog 25,00 DKK
Forfattere Rasmus Broe (forfatter), Rasmus Broe (indlæser)
Forlag SAGA Egmont
Udgivet 19 juli 2019
Længde 4:30
Genrer Mind, body, spirit
Serie Saga Sounds
Sprog Swahili
Format mp3
Beskyttelse Vandmærket
ISBN 9788726266542
Tulia ukisikiliza sauti za maumbile.



Kuni katika mahali pa kuotea moto zinachomeka, na joto linaenelea ndani ya chumba. Saa ya zamani inaendelea kugonga, na paka anajinyoosha na kukoroma sakafuni. Umekaa kwenye kiti chenye starehe, ukitulia huku ukifirikia moto ulio mbele yako.



Utafiti umeonyesha kwamba sauti za maumbile zinaweza kuwa na athari ya kutuliza na kusisimua kwenye ubongo. Sauti za Saga ni mfuatano wa sauti maridadi na mbalimbali za mazingira, ambazo unaweza kusikiliza ili kutulia, ukienda kulala au ukiwa kazini. Sauti iliyobuniwa vizuri huunda mazingira ya kutuliza, yanayojulikana pia kama "mazingira", ambayo unaweza kuyaingia mahali popote na wakati wowote utakao. Sauti za Saga ni mfuatano wa sauti maridadi na mbalimbali za mazingira, ambazo unaweza kusikiliza ili kutulia, ukienda kulala au ukiwa kazini.