BookClub ready
Hisia ya Hatia Ichomayo - Sura ya 1 e-bog
25,00 DKK
(inkl. moms 31,25 DKK)
Johan Boje, afisa wa jeshi la polisi la Eneo la Kati na Magharibi mwa Jutland, anauawa na dereva anayemgonga na kisha kutoroka mbele ya nyumba yake, usiku mmoja wa manane mwezi Machi. Bosi wake, Axel Borg, ni mmojawapo wa watu wa kwanza kuwasili katika eneo la tukio na hapa, anagundua kuwa mauaji hayo yalikuwa ya kikatili. Mwanawe Johan Boje mwenye umri wa miaka tisa anasema kuwa aliliona gar...
E-bog
25,00 DKK
Kan læses i vores apps til iPhone/iPad og Android.
Kan læses i appen
Forlag
SAGA Egmont
Udgivet
8 oktober 2019
Længde
25 sider
Genrer
Crime and mystery fiction
Sprog
Swahili
Format
epub
Beskyttelse
Vandmærket
ISBN
9788726283624
Johan Boje, afisa wa jeshi la polisi la Eneo la Kati na Magharibi mwa Jutland, anauawa na dereva anayemgonga na kisha kutoroka mbele ya nyumba yake, usiku mmoja wa manane mwezi Machi. Bosi wake, Axel Borg, ni mmojawapo wa watu wa kwanza kuwasili katika eneo la tukio na hapa, anagundua kuwa mauaji hayo yalikuwa ya kikatili. Mwanawe Johan Boje mwenye umri wa miaka tisa anasema kuwa aliliona gari na dereva, ambaye anadai alikuwa ni afisa wa polisi. Je, huu ni ubunifu unaofanana na ukweli wa mvulana huyo? Wakati kamera ya upelelezi inapothibitisha madai ya mwanawe, Roland Benito, mpelelezi katika Tume Huru ya Malalamishi ya Polisi, anapewa kesi hiyo. Je, mmoja wa marafiki za Johan alikuwa na nia ya kufanya mauaji hayo ya kinyama?
Inger Gammelgaard Madsen (alizaliwa 1960) ni mwandishi Mdenmaki. Awali Madsen alikuwa msanifu picha. Alianza uandishi kwa riwaya iitwayo, "Dukkebarnet" mnamo 2008 na tangu wakati huo ameandika vitabu kadhaa vya utanzu huo. Kati ya hivi ni "Drab efter begæring" (2009), "Zawadi ya Slangens" (2014), "Dommer og bøddel" (2015), "Blodregn" (2016) na "Msafishaji" (2019).