Hisia ya Hatia Ichomayo - Sura ya 4 (e-bog) af Inger Gammelgaard Madsen
BookClub ready

Hisia ya Hatia Ichomayo - Sura ya 4 e-bog

25,00 DKK (inkl. moms 31,25 DKK)
Tume Huru ya Malalamishi ya Polisi haijui wapi pa kuanzia. Lakini baada ya kuwahoji bibiye Johan Boje na wenzake, Roland Benito amesadiki kuwa askari huo hakuwa bwana mwaminifu. Huenda muuaji alikuwa na nia zingine kando na zile wanazofuatilia. Wanamhoji mwanawe Johan Boje, Lukas, ambaye alikuwa karibu na mauaji zaidi ya ilivyodhaniwa awali. Upelelezi unachukua mkondo mpya pale ambapo Anne Lars...
E-bog 25,00 DKK
Forfattere Inger Gammelgaard Madsen (forfatter), Saga Egmont (oversætter)
Forlag SAGA Egmont
Udgivet 8 oktober 2019
Længde 25 sider
Genrer Crime and mystery fiction
Sprog Swahili
Format epub
Beskyttelse Vandmærket
ISBN 9788726283594
Tume Huru ya Malalamishi ya Polisi haijui wapi pa kuanzia. Lakini baada ya kuwahoji bibiye Johan Boje na wenzake, Roland Benito amesadiki kuwa askari huo hakuwa bwana mwaminifu. Huenda muuaji alikuwa na nia zingine kando na zile wanazofuatilia. Wanamhoji mwanawe Johan Boje, Lukas, ambaye alikuwa karibu na mauaji zaidi ya ilivyodhaniwa awali. Upelelezi unachukua mkondo mpya pale ambapo Anne Larsen anapomtafuta Rolando. Anamwambia kile alichogundua, na kuwa anashuku kwamba shauku ya Johan Boje katika moto ule ilikuwa ni ya kibinafsi. Inger Gammelgaard Madsen (alizaliwa 1960) ni mwandishi Mdenmaki. Awali Madsen alikuwa msanifu picha. Alianza uandishi kwa riwaya iitwayo, "Dukkebarnet" mnamo 2008 na tangu wakati huo ameandika vitabu kadhaa vya utanzu huo. Kati ya hivi ni "Drab efter begæring" (2009), "Zawadi ya Slangens" (2014), "Dommer og bøddel" (2015), "Blodregn" (2016) na "Msafishaji" (2019).