BookClub ready
Hisia ya Hatia Ichomayo - Sura ya 5 e-bog
25,00 DKK
(inkl. moms 31,25 DKK)
Liv Løkke ana majinamizi, baada ya moto ule na maisha ya awali kuletwa kwa ulimwengu wake wa sasa. Anne Larsen anawasiliana naye. Mwanahabari huyo amemtembelea kakake, na ana hamu kubwa ya kutaka kujua kile alichotaka kutoka kwake, hata anakubali shingo upande kukutana naye kwenye hoteli moja mjini Rhanders. Lakini madai ya mwanahabari huyo yanamkasirisha sana; anaondoka hotelini humo akiwa na ...
E-bog
25,00 DKK
Kan læses i vores apps til iPhone/iPad og Android.
Kan læses i appen
Forlag
SAGA Egmont
Udgivet
8 oktober 2019
Længde
25 sider
Genrer
Crime and mystery fiction
Sprog
Swahili
Format
epub
Beskyttelse
Vandmærket
ISBN
9788726283587
Liv Løkke ana majinamizi, baada ya moto ule na maisha ya awali kuletwa kwa ulimwengu wake wa sasa. Anne Larsen anawasiliana naye. Mwanahabari huyo amemtembelea kakake, na ana hamu kubwa ya kutaka kujua kile alichotaka kutoka kwake, hata anakubali shingo upande kukutana naye kwenye hoteli moja mjini Rhanders. Lakini madai ya mwanahabari huyo yanamkasirisha sana; anaondoka hotelini humo akiwa na ghadhabu. Anapoona tangazo kwenye gazeti kuwa mwanawe Johan Boje alimuona muuaji, anaenda nyumbani mwake Johan Boje kukutana na mwanawe mbele ya mahali alipozikwa babake.
Inger Gammelgaard Madsen (alizaliwa 1960) ni mwandishi Mdenmaki. Awali Madsen alikuwa msanifu picha. Alianza uandishi kwa riwaya iitwayo, "Dukkebarnet" mnamo 2008 na tangu wakati huo ameandika vitabu kadhaa vya utanzu huo. Kati ya hivi ni "Drab efter begæring" (2009), "Zawadi ya Slangens" (2014), "Dommer og bøddel" (2015), "Blodregn" (2016) na "Msafishaji" (2019).