Mnadhifishaji Tukio la 1: Orodha (e-bog) af Inger Gammelgaard Madsen
BookClub ready

Mnadhifishaji Tukio la 1: Orodha e-bog

25,00 DKK (inkl. moms 31,25 DKK)
Bertram na marafiki wake watatu; Jack, Kasper na Felix, wamekamilisha masomo yao hivi punde na kutengeneza genge ndogo la muda na kujiita The Hawks. Wao wanamfanyia kazi The Handler, ambaye huwalipa baada ya wao kuvunja maduka na kuuba fanicha bainifu za bei ghali pindi The Handler anapopata agizo kutoka kwa wateja wake. Bertram anaishi yeye na mama yake pekee anayefanya kazi kama mhudumu katik...
E-bog 25,00 DKK
Forfattere Inger Gammelgaard Madsen (forfatter), - Lust (oversætter)
Forlag SAGA Egmont
Udgivet 11 september 2019
Længde 23 sider
Genrer Crime and mystery fiction
Sprog Swahili
Format epub
Beskyttelse Vandmærket
ISBN 9788726270785
Bertram na marafiki wake watatu; Jack, Kasper na Felix, wamekamilisha masomo yao hivi punde na kutengeneza genge ndogo la muda na kujiita The Hawks. Wao wanamfanyia kazi The Handler, ambaye huwalipa baada ya wao kuvunja maduka na kuuba fanicha bainifu za bei ghali pindi The Handler anapopata agizo kutoka kwa wateja wake. Bertram anaishi yeye na mama yake pekee anayefanya kazi kama mhudumu katika mkahawa. Mamake Bertram anaamini kuwa Bertram anapata pesa zake kutokana na kuwasilisha magazeti. Bertram hawezi kukumbuka mambo mengi kuhusu baba yake. Alikuwa na miaka saba tu wakati baba yake alishikwa baada ya kutekeleza mauaji na kuhukumiwa kifungo cha maisha kwenye jela. Siku moja Bertram anaiba jaketi ya bei ghali iliyotengenezwa kwa ngozi kwenye mkahawa ambao mama yake anafanya kazi. Anapata kitu kilichofichwa katika mfuko ulijificha chini ya bitana ya jaketi ile. Hili linaishia kutokea kwa maafa na sio kwa Bertram tu.



The Cleaner ni mchezo wa kuigiza wa kihalifu wenye matukio sita. Inger Gammelgaard Madsen (b. 1960) ni mwandishi kutoka nchi ya Denmark. Inger Gammelgaard Madsen ana uasilia wa kisomo cha uchoraji wa vielelezo. Alianza kuandika hadithi zinazohusu uhalifu "Dukkebarnet" katika mwaka wa 2008. baada ya kitabu hiki, ameandika vitabu vingine kadhaa vinavyohusu uhalifu. Baadhi ya vitabu hivi ni "Drab efter begæring" (2009), "Slangers gift" (2014), "Dommer og bøddel" (2015) na "Blodregn" (2016).