Mtobwa, R.
(forfatter)
Salamu Kutoka Kuzimu e-bog
146,74 DKK
Kifo kaja duniani. Akikuchekea umekwisha … Akikusalimu umekwisha … Hana mdhaha …Lakini yeye anataka watu wakubwa zaidi. Anataka kuifanya Afrika nzima iangue kilio na maombolezo amabayo hayajapata kutokea duniani. Na anataka hilo litokee siku moja, saa moja… “Bendera zote duniani zipepee nusu mlingoti,” anasema akichekelea. “Sijawahi kushindwa …” Jasho linawatoka watu mashuhuri: Damu inamwagika ka…
Kifo kaja duniani. Akikuchekea umekwisha … Akikusalimu umekwisha … Hana mdhaha …Lakini yeye anataka watu wakubwa zaidi. Anataka kuifanya Afrika nzima iangue kilio na maombolezo amabayo hayajapata kutokea duniani. Na anataka hilo litokee siku moja, saa moja… “Bendera zote duniani zipepee nusu mlingoti,” anasema akichekelea. “Sijawahi kushindwa …” Jasho linawatoka watu mashuhuri: Damu inamwagika kama mchezo. Inspekta kombaro machozi yanamtoka. Joram Kiango kaduwaa.
E-bog
146,74 DKK
Udgivet
02.05.1984
Længde
138 sider
Genrer
Crime and mystery fiction
Sprog
Swahili
Format
epub
Beskyttelse
LCP
ISBN
9789966565952

Dansk