Dimbwi la Damu (e-bog) af Mtobwa, R.
Mtobwa, R. (forfatter)

Dimbwi la Damu e-bog

146,74 DKK (inkl. moms 183,42 DKK)
Alipoamua kwenda Kigoma, Joram Kiango alitarajia kupumzika, akiburudishwa na mandhari murua ya Ziwa Tanganyika lakini haikuwa hivyo. Likizo yake ilibadilika ghafla huku maisha yake yakiingia katika utata mkubwa. Katika jitihada za kutatua utata huo, Joram Kiango anakabiliana uso kwa uso na mjumbe wa mauti, mwenye kiu kali cha damu na anayesheheni silaha zote. Mjumbe ambaye yuko tayari kwa lolot...
E-bog 146,74 DKK
Forfattere Mtobwa, R. (forfatter)
Udgivet 16 maj 1984
Længde 104 sider
Genrer Crime and mystery: hard-boiled crime, noir fiction
Sprog Swahili
Format epub
Beskyttelse LCP
ISBN 9789966565914
Alipoamua kwenda Kigoma, Joram Kiango alitarajia kupumzika, akiburudishwa na mandhari murua ya Ziwa Tanganyika lakini haikuwa hivyo. Likizo yake ilibadilika ghafla huku maisha yake yakiingia katika utata mkubwa. Katika jitihada za kutatua utata huo, Joram Kiango anakabiliana uso kwa uso na mjumbe wa mauti, mwenye kiu kali cha damu na anayesheheni silaha zote. Mjumbe ambaye yuko tayari kwa lolote; tayari kufa, tayari kuua...