Mtambo wa Mauti (e-bog) af Mtobwa, R.
Mtobwa, R. (forfatter)

Mtambo wa Mauti e-bog

146,74 DKK (inkl. moms 183,42 DKK)
Mona Lisa, msichana mwenye sura ya malaika na umbo la malkia anafakiwa kuutikisa ujabali wa Joram Kiango hata akakubali kustarehe naye. Joram Kiango anajikuta katika mkasa mzito na wa kutisha, na ambao hajawahi kukutana nao maishani alipokurupuka usiku wa manane na kumkuta Mona Lisa akiwa maiti, tundu la risasi likivuja damu kifuani mwake. Mkasa unazidi kuwa mzito pale Mona Lisa, aliyekufa anap...
E-bog 146,74 DKK
Forfattere Mtobwa, R. (forfatter)
Udgivet 12 maj 2004
Længde 194 sider
Genrer Crime and mystery: hard-boiled crime, noir fiction
Sprog Swahili
Format epub
Beskyttelse LCP
ISBN 9789966565907
Mona Lisa, msichana mwenye sura ya malaika na umbo la malkia anafakiwa kuutikisa ujabali wa Joram Kiango hata akakubali kustarehe naye. Joram Kiango anajikuta katika mkasa mzito na wa kutisha, na ambao hajawahi kukutana nao maishani alipokurupuka usiku wa manane na kumkuta Mona Lisa akiwa maiti, tundu la risasi likivuja damu kifuani mwake. Mkasa unazidi kuwa mzito pale Mona Lisa, aliyekufa anapotokea, tena katika kila maficho ya Joram Kiango. Kila anapotokea maisha ya watu wengi wasiokuwa na hatia yanaangamia. Mona Lisa ni binadamu wa kweli? Ni jini au ni malaika? Ni miongoni mwa maswali ambayo nusura yamtie wazimu Joram Kiango, jeshi zima na vikosi vyote vya usalama. Ungana naye Joram kutatua kizungumkuti hiki kiso mwisho.