Barakoa! (e-bog) af Lederman, Deana Sobel
Lederman, Deana Sobel (forfatter)

Barakoa! e-bog

67,49 DKK (inkl. moms 84,36 DKK)
Wahusika wachanga wa hadithi hii wameambiwa na familia zao kwamba kutoka sasa watu wote watahitaji kuvaa barakoa za kinga na watahitaji kukaa mbali mmoja kwa mwingine.Wakiwa na barakoa mpya kwenye nyuso zao, hawo vijana wanaamua kwenda kwenye duka la aiskrimu na wazazi wao. Wanaona ni mzaha watu wazima mitaani wakivalia kofia za ajabu kama ukumbusho wa hizo sheria mpya. Kwa hali yoyote, ile utu...
E-bog 67,49 DKK
Forfattere Lederman, Deana Sobel (forfatter)
Forlag TBR Books
Udgivet 20 juli 2020
Længde 28 sider
Genrer Children’s / Teenage: Chapter books (transitional storybooks)
Sprog Swahili
Format pdf
Beskyttelse LCP
ISBN 9781636070513
Wahusika wachanga wa hadithi hii wameambiwa na familia zao kwamba kutoka sasa watu wote watahitaji kuvaa barakoa za kinga na watahitaji kukaa mbali mmoja kwa mwingine.Wakiwa na barakoa mpya kwenye nyuso zao, hawo vijana wanaamua kwenda kwenye duka la aiskrimu na wazazi wao. Wanaona ni mzaha watu wazima mitaani wakivalia kofia za ajabu kama ukumbusho wa hizo sheria mpya. Kwa hali yoyote, ile utumizi wa barakoa na kutotangamana na watu haziwafadhaishi, na furaha yao inazidi wanapoonana kwenye foleni ya duka la aiskrimu. Wakati kila mmoja wao ameingia dukani kwa zamu yake na amenunua aiskrimu, wote wanarudi nyumbani kufurahia peremende zao.