 
      Somo la Kushona e-bog
        
        
        67,49 DKK
        
        (inkl. moms 84,36 DKK)
        
        
        
        
      
      
      
      Taa na kelele za ajabu kutoka sebuleni zinamuamsha mhusika mkuu wa hadithi hii. Kuelewa kile kinachoendelea, anaenda chumbani ambapo mama yake alipo, na anamuona mama yake akishona barakoa za kinga. Mama yake anamwambia kwamba kutoka sasa wafanyakazi muhimu wote na wale wote wanaohitaji kusafiri kwenda kazini watahitaji kuvaa barakoa. Anapo tafakari maneno ya mama yake, anaamua ya kwamba yeye p...
        
        
      
            E-bog
            67,49 DKK
          
          
        
    Forlag
    TBR Books
  
  
  
    Udgivet
    15 juni 2020
    
  
  
  
  
    Genrer
    
      Children’s / Teenage: Chapter books (transitional storybooks)
    
  
  
  
  
    Sprog
    Swahili
  
  
    Format
    pdf
  
  
    Beskyttelse
    LCP
  
  
    ISBN
    9781636070520
  
Taa na kelele za ajabu kutoka sebuleni zinamuamsha mhusika mkuu wa hadithi hii. Kuelewa kile kinachoendelea, anaenda chumbani ambapo mama yake alipo, na anamuona mama yake akishona barakoa za kinga. Mama yake anamwambia kwamba kutoka sasa wafanyakazi muhimu wote na wale wote wanaohitaji kusafiri kwenda kazini watahitaji kuvaa barakoa. Anapo tafakari maneno ya mama yake, anaamua ya kwamba yeye pia atavaa barakoa ya rangi nyingi ilioshonwa na mama yake, na anamwomba mama yake amfundishe jinsi ya kushona. Anataka kumshonea babu yake barakoa, na babu yake, akiwa amejazwa na furaha kwa sababu ya kitendo cha fadhili cha mjukuu wake, anamkumbatia alipotoka kazini hospitalini.
       Dansk
                Dansk
             
            