Somo la Kushona (e-bog) af Lederman, Deana Sobel
Lederman, Deana Sobel (forfatter)

Somo la Kushona e-bog

84,36 DKK (ekskl. moms 67,49 DKK)
Taa na kelele za ajabu kutoka sebuleni zinamuamsha mhusika mkuu wa hadithi hii. Kuelewa kile kinachoendelea, anaenda chumbani ambapo mama yake alipo, na anamuona mama yake akishona barakoa za kinga. Mama yake anamwambia kwamba kutoka sasa wafanyakazi muhimu wote na wale wote wanaohitaji kusafiri kwenda kazini watahitaji kuvaa barakoa. Anapo tafakari maneno ya mama yake, anaamua ya kwamba yeye pia…
E-bog 84,36 DKK
Forfattere Lederman, Deana Sobel (forfatter)
Forlag TBR Books
Udgivet 2020-06-15
Genrer Children’s / Teenage: Chapter books (transitional storybooks)
Sprog Swahili
Format epub
Beskyttelse LCP
ISBN 9781636070520
Taa na kelele za ajabu kutoka sebuleni zinamuamsha mhusika mkuu wa hadithi hii. Kuelewa kile kinachoendelea, anaenda chumbani ambapo mama yake alipo, na anamuona mama yake akishona barakoa za kinga. Mama yake anamwambia kwamba kutoka sasa wafanyakazi muhimu wote na wale wote wanaohitaji kusafiri kwenda kazini watahitaji kuvaa barakoa. Anapo tafakari maneno ya mama yake, anaamua ya kwamba yeye pia atavaa barakoa ya rangi nyingi ilioshonwa na mama yake, na anamwomba mama yake amfundishe jinsi ya kushona. Anataka kumshonea babu yake barakoa, na babu yake, akiwa amejazwa na furaha kwa sababu ya kitendo cha fadhili cha mjukuu wake, anamkumbatia alipotoka kazini hospitalini.