BookClub ready
FC Mezzi 1: Mapumziko (FC Mezzi) e-bog
25,00 DKK
(inkl. moms 31,25 DKK)
Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kifo – ni muhimu sana! Jake, Nick, and Peter ni marafiki wakubwa. Wanapenda mpira wa miguu na wanacheza katika kilabu kimoja. Jake na Nick wanaingia ligi daraja la kwanza. Walikuwa na shauku kubwa! Walianzia nje kwenye michezo miwili ya kwanza, lakini Jake hakucheza sana kwenye mchezo wa kwanza. Na wakati zimesalia dakika kumi tu za mchezo wa pili, bado alit...
E-bog
25,00 DKK
Kan læses i vores apps til iPhone/iPad og Android.
Kan læses i appen
Forlag
SAGA Egmont
Udgivet
27 august 2019
Længde
25 sider
Genrer
Children’s / Teenage fiction and true stories
Serie
FC Mezzi
Sprog
Swahili
Format
epub
Beskyttelse
Vandmærket
ISBN
9788726254686
Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kifo – ni muhimu sana!
Jake, Nick, and Peter ni marafiki wakubwa. Wanapenda mpira wa miguu na wanacheza katika kilabu kimoja. Jake na Nick wanaingia ligi daraja la kwanza. Walikuwa na shauku kubwa! Walianzia nje kwenye michezo miwili ya kwanza, lakini Jake hakucheza sana kwenye mchezo wa kwanza. Na wakati zimesalia dakika kumi tu za mchezo wa pili, bado alitakiwa kucheza. Huu ni wakati ambao Jake anafanya maamuzi makubwa. Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kufa – ni muhimu sana! \n\nJake na marafiki zake walianzisha timu yao wenyewe, FC Mezzi. Tunafuatilia michezo yao ya mazoezi, mashindano na ya kirafiki ya zamani na mipya. Pia kuna mambo ya mapenzi kidogo. \n\nMfululizo huu unahusu kufurahia michezo! Daniel Zimakoff alizaliwa mwaka 1956 na mkutubi aliyesomea. Kwa mara ya kwanza mwaka 1980 aliandika mfurulizo mkubwa wa vitabu vya watoto na ashawahi kupata Tuzo ya Vitabu vya Watoto kuto kwenye wizara ya utamaduni.