Lucy na Emma wanaenda Kuendesha Baisikeli (e-bog) af Line Kyed Knudsen
BookClub ready
Line Kyed Knudsen (forfatter)

Lucy na Emma wanaenda Kuendesha Baisikeli (Lucy na Emma) e-bog

25,00 DKK (inkl. moms 31,25 DKK)
Lucy na Emma wanaenda kuendesha baisikeli na wanafunzi wengine wa darasa lake. Ghafla wanapotea msituni na Hassan. Anaendesha haraka ili kuwafikia wengine, lakini wanafikia njia panda ya barabara. Marafiki hao watatu hawajui ni barabara gani ambayo wanafunzi wengine wa darasa walikwenda. Watafanya nini? Mwandishi kutoka Uholanzi Line Kyed Knudsen (aliyezaliwa mwaka wa 1971) alijulikana mara ...
E-bog 25,00 DKK
Forfattere Line Kyed Knudsen (forfatter)
Forlag SAGA Egmont
Udgivet 11 december 2019
Længde 7 sider
Genrer Children’s / Teenage fiction and true stories
Serie Lucy na Emma
Sprog Swahili
Format epub
Beskyttelse Vandmærket
ISBN 9788726254624
Lucy na Emma wanaenda kuendesha baisikeli na wanafunzi wengine wa darasa lake. Ghafla wanapotea msituni na Hassan. Anaendesha haraka ili kuwafikia wengine, lakini wanafikia njia panda ya barabara. Marafiki hao watatu hawajui ni barabara gani ambayo wanafunzi wengine wa darasa walikwenda. Watafanya nini? Mwandishi kutoka Uholanzi Line Kyed Knudsen (aliyezaliwa mwaka wa 1971) alijulikana mara ya kwanza na "Pigerne fra Nordsletten" mwaka wa 2003. Mnamo 2007 alipewa ruzuku ya Pippi kutoka kwa kampuni ya uchapishaji kule Uholanzi, Gyldendal. Yeye huandika vitabu vya watoto na vijana, na pia hufundisha mbinu za uandishi.