Hatima ya Vibwengo 1: Wanajeshi Shupavu (e-bog) af Peter Gotthardt
BookClub ready
Peter Gotthardt (forfatter)

Hatima ya Vibwengo 1: Wanajeshi Shupavu (Elverfolkets skæbne) e-bog

33,72 DKK (inkl. moms 42,15 DKK)
Adui mwenye nguvu aliwasili kwenye nchi ya Vibwengo. Alitaka kumfanya mtumwa kila mtu anayeishi pale. Ikiwa Vibwengo wataokoka, watahitaji vyote ujasiri na matumaini. Vibwengo walilikimbia jeshi la adui, na walilazimishwa kujificha msituni. Deizi akawa rafiki wa Kibwengo mdogo anayeitwa Humulus. Kwa pamoja, wakafanya ugunduzi ambao uliwawezesha Vibwengo kujibu mashambulizi dhidi ya adui. Je,...
E-bog 33,72 DKK
Forfattere Peter Gotthardt (forfatter), SAGA Egmont (oversætter)
Forlag SAGA Egmont
Udgivet 27 august 2019
Længde 17 sider
Genrer Children’s / Teenage fiction: Fantasy
Sprog Swahili
Format epub
Beskyttelse Vandmærket
ISBN 9788726254594

Adui mwenye nguvu aliwasili kwenye nchi ya Vibwengo. Alitaka kumfanya mtumwa kila mtu anayeishi pale. Ikiwa Vibwengo wataokoka, watahitaji vyote ujasiri na matumaini.

Vibwengo walilikimbia jeshi la adui, na walilazimishwa kujificha msituni. Deizi akawa rafiki wa Kibwengo mdogo anayeitwa Humulus. Kwa pamoja, wakafanya ugunduzi ambao uliwawezesha Vibwengo kujibu mashambulizi dhidi ya adui. Je, watakuwa na nguvu ya kutosha?

Hiki ni kitabu cha kwanza katika mfululizo wa vitabu vinne vya “Hatima ya Vibwengo.” Visome vitabu vyote katika mfululizo:

Wanajeshi Shupavu

Moyo wa Jabali

Makaburi Yaliyosahaulika

Filimbi ya Kichawi

Peter Gotthardt alizaliwa nchini Denmark karibu na Copenhagen mwaka 1946. Akiwa mtoto alipenda kusoma, na alitumia muda wake mwingi kujisomea katika maktaba za mkusanyiko wa vitabu vya historia na matukio.

Gotthardt ameandika zaidi ya vitabu 60 vya watoto ambapo vingi vimejikita kwenye uwanja wa Vibwengo.